ZARI AWA TISHIO KWA WASANII WA BONGO


Kutokana na mapokezi aliyofanyiwa uwanja wa ndege majuz na Mashabiki wake Bongo, Mapokezi ya Mlimani City ndani ya Danube House pamoja kuumiza vichwa vya habari kwenye Magazeti ya bongo , Zari Hassan maarufu kama Zari the Bossy Lady amezidi kuwanyoosha wasanii wa kizazi kipya na filamu bongo kwa kuonekana yeye ndie kipenz cha mashabiki kwa sasa. Mapokezi ya Mwanadada huyo yarifurika Mamia ya watu.Lulu anyoosha mikono asema,”Zari anatunyoosha Nyumbani kwetu wenyewe”
Zarithebosslady aliandika pia kwenye ukurasa wake wa instagram, ” Ooh Tanzania hakika hapa ni zaid ya Nyumbani sijui hata niwape nini kwa Mapenzi haya”

Ilikua ni zaid ya upendo kwake tazama video hapa chini

》ANGALIA VIDEO HAPA

 

YOU MAY ALSO LIKE

》ANGALIA VIDEO YA SEXY SCENES ZA ENEKA

》ANGALIA VIDEO YA MAMBO YA DANUBE: ZARI AMFUMANIA DIAMOND

》ANGALIA VIDEO YA TIFAH DANGOTE LIFE STORY

Sharing is caring!