WHAT DIAMOND SAID ABOUT ZARI

Few days after becoming the first African artist signed under the Universal Music Group , Msanii Diamond Platnumz alipost kwenye instagram account yake akiwashukuru Mashabiki zake wote ulimwenguni.
Aliandika
diamondplatnumz-“Today have become the first African Artist Signed under Universal Music Group to get 6x Platinum Sales on My Single #MarryYou ft @Neyo….. on behalf of my team & @Neyo would like to thank all the fans & Media Around the world#MarryYouDN #MaryYou #AboyFromTandale (Leo nimekuwa msanii wa kwanza wa kiafrika alosainiwa Universal Music Group kufikisha Mauzo ya nyimbo yake Platinum Mara sita Mfululizo kupitia nyimbo ya #MarryYou nilomshirikisha @Neyo…. kwa niaba ya Team yangu na @neyo tungependa kuwashukuru Mashabiki na Media zote Ulimwenguni…🙏) #ABoyFromTandale”

On the other side, Kipenzi chake Mama wa watoto wake Tiffah na Nillan nae alionyesha furaha kwa kumpongeza laazizi wake akimpost kwenye instagram account yake.
Aliandika;
zarithebosslady-“Congrats babe @diamondplatnumzfor becoming the first African Artist signed under Universal to hit Six times platinum sales on your #MarryYou ft @Neyo Record! Am super Proud!”

Then,WHAT DIAMOND PLATNUMZ SAID ABOUT ZARI (ALICHOKISEMA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU ZARITHEBOSSLADY)
Akitoa comment kwenye post ya zarithebosslady, diamond alifunguka na kuelezea ukwel juu ya Zari, alisema

diamondplatnamz -” Thank you so much baby..tam tam unayonipa inanipa akili ya kutunga nyimbo tamu pia”

This show how much he cares the presence of zari in his music life and general.

Sharing is caring!