Ngaza girls wapagawa, Diamond anena.

Ikiwa siku mbili zimepita toka Tigo Fiesta 2017 ifanyike jijini Mwanza , Mkuu wa WCB Diamond Platnumz hakusita kutoa pongezi zake baada ya kukoshwa na kijana anaeliwakilisha kundi hilo vyema msanii Rayvanny.
Diamond ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram


#diamondplatnumz”Ndoto yangu ni kuona kila kijana mwenye kipaji, basi kipaji chake kinatambulika na kesho na keshokutwa nae kuwa muwakilishi mwema wa Nchi yetu Kwenye Mziki…. lakini pia nae kuwa Mkombozi katika Familia yake… Nawashkuru kwa Mapenzi yenu kwa Wasanii wote wa Wcb… Inshaallah Mwenyez Mungu atuongoze tuzidi kushika vijana wenzetu zaidi Mtaani… @rayvanny#UNAIBIWA #WcbForLife #Wcb_Wasafi for life!”

Rayvanny kabla ya shoo ya usiku, alikinukisha katika shule ya watoto wa kike jijini Mwanza, Nganza Girls Secondary school. Hakika Rayvanny hakumuacha mtu salama pale . Angalia video hapa chini

Sharing is caring!