HAMISA POVU LAMTOKA, ZARI NA DIAMOND WAENDELEA

Mwanamitindo  Hamisa Mobetto Azidi kutokwa povu baada ya mbio zake za kuharibu penzi zito la mwanadada Zari na huba lake Diamond Platnumz a.k.a Simba . Diamond na Zari wameonekana wakila bata na mapenz motomoto huko Zanzibar.

Diamond Platnumz na zari waendeleza mapenzi yao motomoto, kitu ambocho Hamisa hakutegemea.

Angalia video hapa chini wakiwa Faragha huko Zanzibar

KONA YA UMBEA

ZARI AMFUMANIA DIAMOND CLICK》HERE

MAHABA NIUE DIAMOND NA ZARI CLICK 》 HERE

Sharing is caring!