DIAMOND FT RICKROSS – WAKAWAKA KUTOKA DEC 1ST

DiamondPlatnumz yupo Nchini Uingereza kwa Ziara zake za Kimuziki.

Mda mchache uliopita alikuwa akiojiwa na Kituo kikubwa cha Nchini humo, the beat Fm. Diamond ameweka Wazi kuwa album yake inayo subiriWa kwa hamu #aboyfromtandale pre order zitaanza pokelewa mnamo December Moja.

Aki ongea na the Beat katika Kipindi maarufu cha Drivetime kinacho endeshwa na Mwanadada Amanda, amesema album itaanza kusambazwa mnamo December Mosi na ndani ya album hiyo kuna Majina makubwa akiwemo Rickross, Neyo , Tiwa Savage, Davido etc

Diamond ameweka Wazi pia wimbo Wake aliyo mshirikisha Rickross uitwao WakaWaka unatoka Disemba Mosi wakati ambapo pre order ya Albam itakapo anza kuuzwa.

Sharing is caring!