DIAMOND AOMBA MSAMAHA KWA ZARI NA WATOTO WAKE

DIAMOND AMUOMBA MSAMAHA ZARI NA WATOTO – “Kikubwa leo nataka kumuomba samahani mke wangu @ZariTheBosslady na watoto wangu kwa makosa niliyofanya.” – @diamondplatnumz .
Imeandikwa kwenye ukurasa wa instagram wa Cloudsfmtv leo.

Sharing is caring!