DIAMOND AMSIFIA ZARI NI WA KIPEKEE

HAPPY BIRTHDAY GENERAL 👑


Leo tarehe 23 Sept ni siku ya kuzaliwa ZARITHEBOSSLADY, The General. Mwanamziki Diamond Platnumz amemwandikia mpenzi wake ujumbe Mzito kwenye Account yake ya instagram kuwa yeye ni mwanamke wa kipekee

Ameandika “Uzuri na Urembo pengine ningetembea nikakuta baadhi wanao pia… Lakini Akili, Hekma, pamoja na Roho yako ya kwenye Shida na Raha kwangu ndio kitu pekee kinachonifanya nikupende na kukuthamini zaidi kadri siku zinavyozidi kwenda…… wanaposema kwenye kila Mafanikio ya Mwanaume kuna Mwanamke imara nyuma, hawamaanishi eti anaepika na kuosha vyombo sana ama kufua nguo kila siku… Hapana! ni mwanamke Mwenyekuwa bega kwa bega na Mpenzie kwenye Shida na Raha… Happy birthday General💞”

The WCB Family also we wish her a happy birthday ,May her memories today be awesome, her dreams become a reality, her joy last forever and a wonderful birthday. To our lovely Queen Zarithebosslady

Sharing is caring!